top of page
Search

MAADHIMISHO SIKU YA WAAGUZI DUNIANI 2026-fikapo tarehe 12 Mei kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya Wauguzi ikiwa ni sherehe za kumuenzi mwasisi wa taaluma hiyo Florence Nightingale

Walioketi ni uongozi wa hospitali ukiwa pamoja na wauguzi baada ya adhimisho la misa takatifu

Wauguzi waadhimisha siku ya wauguzizi duniani kwa kuanza  na adhimisho la misa takatifu

Wauguzi  wamerudia viapo vyao vya maadili ya uuguzi katika siku yao

Muuguzi mfawidhi akiungana na wauguzi wote kutoa zawadi kwa wagonjwa hospitali

Wauguzi watoa zawadi kwa wagonjwa katika wodi mbali mbali za  hospitali

bottom of page