top of page
Search


HOSPITALI YA MT. JOSEPH PERAMIHO YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA UMMA WA KADA MBALIMBALI.
Picha ya Padre Maxmilian ambaye mjumbe wa bodi Hospitali Ya Rufaa Ya MT. Joseph Peramiho ambaye pia ni mhasibu mkuu wa shirika la Benediktini akifungua mafunzo ya siku tatu ya maadili /mwenendo katika utoaji wa huduma za umma na huduma kwa wateja kwa watumishi wa umma iliyoandaliwa na uongozi wa hospitali hiyo. Mganga mkuu mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya Mt. Joseph Peramiho Dkt Adeodatus Haule akitoa maneno machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kwenye mafunzo ya maad
Peramiho Hospital
Nov 21, 20251 min read


MBIO ZA BAISKELI MASHINDANO YA ANSGAR CUP 2025
NDUGU.OSCAR KAYOMBO BINGWA WA KILOMITA 35 WA MBIO ZA BAISKELI WANAUME KATIKA MASHINDANO YA ANSGAR CUP-PERAMIHO 2025
Peramiho Hospital
Sep 18, 20251 min read


MATUKIO MBALIMBALI KATIKA KONGAMANO LA KISAYANSI LILOFANYIKA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MT.JOSEPH -PERAMIHO
BR.DR.ANSGAR STUFFE MKURUGENZI WA HOSPITALI AKIWA NA MADAKTARI BINGWA WABOBEZI, MADAKATRI BINGWA PAMOJA NA BAADHI YA MADAKATRI WAFAWIDHI...
Peramiho Hospital
Sep 18, 20251 min read


MATUKIO MBALIMBALI YA MASHINDANO YA FAINALI YA ANSGAR CUP 2025
Kapteni wa timu ya Peramiho Fc Nesco Gama akikabidhiwa Kombe la mshindi wa kwanza na Frank Kilanga Meneja wa NBC katika fainali ya...
Peramiho Hospital
Sep 18, 20251 min read


MATUKIO MBALIMBALI MASHINDANO YA FAINALI YA ANSGAR CUP 2025.
Wachezaji wa timu ya pete ya wanawake wa shule ya sekondari Jenista Mhagama na mgeni rasmi katika hafla fupi ya kupongezana baadaya kuwa...
Peramiho Hospital
Sep 16, 20251 min read


HOSPITALI YA ST. JOSEPH PERAMIHO YAANZA KUTOA HUDUMA YA CT SCAN
Hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Joseph PERAMIHO imeanza kutoa Huduma ya Upimaji Magonjwa mbalimbali kwa kutumia Teknolojia za Kisasa...
Peramiho Hospital
Nov 10, 20241 min read


ABASIA YA PERAMIHO YAPATA ABATE MPYA AMBAYE NI ABATE EMANUEL MLWILO OSB
Askofu mkuu Damian Denis Dallu wa jimbo kuu la songea tarehe 24 Agosti 2024 alimbariki Abate Emmanuel Mlwilo, OSB kuwa Abate wa Abasia ya...
Peramiho Hospital
Oct 5, 20241 min read


MKURUGENZI ATANGAZA UONGOZI MPYA WA HOSPITALI YA PERAMIHO
Tarehe 24 octoba 2023 Mkurugenzi wa hospitali ya Peramiho, Dr Ansgar Stufe OSB alitangaza uongozi mpya uliopitishwa na bodi ya Hospitali...
Peramiho Hospital
Oct 5, 20241 min read


MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA JENGO JIPYA LA UPASUAJI NA KUZINDUA JENGO LA KUSAFISHIA FIGO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitembelea maeneo mbalimbali ya Hospitali ya Rufaa ya Peramiho...
Peramiho Hospital
Oct 5, 20241 min read


MKURUGENZI AZINDUA MAJENGO MAPYA YA HOSPITAL YA KITENGO CHA KUSAFISHA FIGO, MENO NA WATOTO NJITI
Mnamo tarehe 15 mei 2021 Mkurugenzi wa hospital ya mtakatifu Joseph Peramiho Dr Ansgar Stufe OSB alifungua majengo mapya katika hospitali...
Peramiho Hospital
Jul 30, 20241 min read
bottom of page




