top of page
Search

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA JENGO JIPYA LA UPASUAJI NA KUZINDUA JENGO LA KUSAFISHIA FIGO

Updated: Nov 2, 2024

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitembelea maeneo mbalimbali ya Hospitali ya Rufaa ya Peramiho wakati alipowasili kuzindua Jengo la kutolea huduma ya usafishaji figo akiwa ziarani mkoani Ruvuma 



 
 
bottom of page