Wachezaji wa timu ya pete ya wanawake wa shule ya sekondari Jenista Mhagama na mgeni rasmi katika hafla fupi ya kupongezana baadaya kuwa mshindi wa kwanza katika mashindano ya Ansgar cup 2025
Meneja wa Nbc Frank Kilanga akimkabidhi cheti kocha bora wa mashindano ya Ansgar Cup 2025 ndugu Denis Mashoko kutoka timu timu ya Peramiho Fc.