Picha ya Padre Maxmilian ambaye mjumbe wa bodi Hospitali Ya Rufaa Ya MT. Joseph Peramiho ambaye pia ni mhasibu mkuu wa shirika la Benediktini akifungua mafunzo ya siku tatu ya maadili /mwenendo katika utoaji wa huduma za umma na huduma kwa wateja kwa watumishi wa umma iliyoandaliwa na uongozi wa hospitali hiyo.
Mganga mkuu mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya Mt. Joseph Peramiho Dkt Adeodatus Haule akitoa maneno machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kwenye mafunzo ya maadili /mwenendo katika utoaji wa huduma za umma na huduma kwa wateja kwa watumishi wa umma.
Picha DKT Christopher Mfinanga ambaye ni daktari bingwa wa upasuaji akitoa malezo machache kuhusu mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya maadili/mwenendo kwa watoa huduma za afya na wateja
Bi.Sofia Sanga mwenzeshaji wa mafunzo ya maadili /mwenendo katika utoaji wa huduma za umma na huduma kwa wateja kwa watumishi wa umma yanayotolewa na uongozi wa hospitali ya rufaa ya Mt. Joseph Peramiho.
Selyester Udope mwenzeshaji wa mafunzo ya maadili /mwenendo katika utoaji wa huduma za umma na huduma kwa wateja kwa watumishi wa umma yanayotolewa na uongozi wa hospitali ya rufaa ya Mt. Joseph Peramiho.