top of page
Search

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA KONGAMANO LA KISAYANSI LILOFANYIKA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MT.JOSEPH -PERAMIHO

BR.DR.ANSGAR STUFFE MKURUGENZI WA HOSPITALI AKIWA NA MADAKTARI BINGWA WABOBEZI, MADAKATRI BINGWA  PAMOJA NA BAADHI YA MADAKATRI WAFAWIDHI KUTOKA MKOA WA RUVUMA.

Mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya Mt.Joseph Peramiho Dr.Adeodatus Haule na waalikwa katika semina ya kuwajengea uwezo na kutambua huduma zinazotolewa katika hospitalini hapo

Dr.Amani Kapinga,Daktari bingwa bobezi magonjwa ya njia ya utumbo akiwajengea uwezo wadaktari wafawidhi kutoka mkoa wa Ruvuma

Mfukunzi wa sera za afya bwan.Sylivester Udope akiwa katika semina ya siku moja ya kuwajengea uwezo madaktari bingwa na bobezi.

Dr. Erick Uronu ,Daktari binwa wa upasuaji wa mifupa akiwajengea uwezo madaktari wafawidhi kutoka mkoa wa Ruvuma

bottom of page