top of page
Search

MKURUGENZI ATANGAZA UONGOZI MPYA WA HOSPITALI YA PERAMIHO

Updated: Oct 22, 2024

Tarehe 24 octoba 2023 Mkurugenzi wa hospitali ya Peramiho, Dr Ansgar Stufe OSB alitangaza uongozi mpya uliopitishwa na bodi ya Hospitali baada ya viongozi waliotangulia kumaliza muda wao kutokana na muda wa kustaafu kufikia. Viongozi waliotangazwa ni Mganga mkuu Dr. Adeodatus Haule na Dr. Christopher Mfinanga mganga mkuu msaidizi. Viongozi waliomaliza muda wao ni Dr Venance Mushi ambaye alikuwa mganga mkuu na Dr Gaudensi Komba ambaye alikuwa mganga mkuu msaidizi ambao wote wamestaafu.




 
 
bottom of page