top of page
Peramiho Hospital
Admin
More actions
Profile
Join date: Jul 23, 2024
Posts (16)
May 13, 2026 ∙ 1 min
MAADHIMISHO SIKU YA WAAGUZI DUNIANI 2026-fikapo tarehe 12 Mei kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya Wauguzi ikiwa ni sherehe za kumuenzi mwasisi wa taaluma hiyo Florence Nightingale
Walioketi ni uongozi wa hospitali ukiwa pamoja na wauguzi baada ya adhimisho la misa takatifu Wauguzi waadhimisha siku ya wauguzizi duniani kwa kuanza na adhimisho la misa takatifu Wauguzi wamerudia viapo vyao vya maadili ya uuguzi katika siku yao Muuguzi mfawidhi akiungana na wauguzi wote kutoa zawadi kwa wagonjwa hospitali Wauguzi watoa zawadi kwa wagonjwa katika wodi mbali mbali za hospitali
24
0
Apr 16, 2026 ∙ 0 min
MAFUNZO YA UALIMU NA UAMUZI WA MPIRA WA MIGUU NA PETE-ANSGARCUP -PERAMIHO MARCH 2026
9
0
Apr 15, 2026 ∙ 1 min
MAFUNZO KWA WAAJIRIWA WAPYA MARCH 2026
MAFUNZO KWA WAAJIRIWA WAPYA MARCH 2026
18
0
bottom of page


